Moja wa wadau wakubwa katika tasnia ya sanaa nchini amefunguka na kuwajibu watu wanaomsema kuhusu kukaa kwake kimya bila kufanya chochote tangu ulipotokea msiba wa Ruge na hata kabla ya kifo chake. Mkubwa fela amefunguka na kusema kuwa watu wamekuwa wakisema hajali kitu kuhusu msiba huo bila hata kujua kuwa yeye na Ruge wametoka mbali sana na hata msiba huo umemgusa sana lakini hana cha kufanya kwa sasa kwa sababu na yeye ni mgonjwa. katika ukurasa wake, mkubwa fella amefunguka na kusema ”
The post Mkubwa Fella Awajibu Wanaomtukana Kisa Kifo cha Ruge appeared first on Ghafla! Tanzania.
Source