Friday, November 2, 2018

VIDEO: Mwamuzi wa Simba na Yanga kuchezesha AFCON mwakani


Mwamuzi wa ligi kuu Tanzania Bara, Jonesia Rukiya ambaye amekuwa akionyesha uwezo mkubwa katika kuchezesha mechi za watani wa jadi Simba na Yanga, ameteuliwa kuchezesha michuano ya AFCONkwa wanawake ifikapo mwakani ambayo yatafanyika nchini Ghana.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...