Kwa mara nyingine tena kampuni ya simu ya Infinix kutikisa soko la simu barani Afrika baada ya ujio wa Infinix ZERO 6, ikiwa ni muendelezo wa toleo la ZERO linalowakilisha kampuni ya Infinix. Infinix ZERO 6 inathibitika kuwa na uwezo mkubwa wa kupiga picha nzuri kutokana na megapixel 12+24 ultra-resolution dual camera iliyoambatanishwa na teknologia ya AI.Wednesday, March 27, 2019
JISHINDIE MPAKA MILLIONI 23 UKIWA NA Infinix ZERO 6
Kwa mara nyingine tena kampuni ya simu ya Infinix kutikisa soko la simu barani Afrika baada ya ujio wa Infinix ZERO 6, ikiwa ni muendelezo wa toleo la ZERO linalowakilisha kampuni ya Infinix. Infinix ZERO 6 inathibitika kuwa na uwezo mkubwa wa kupiga picha nzuri kutokana na megapixel 12+24 ultra-resolution dual camera iliyoambatanishwa na teknologia ya AI.Tuesday, March 26, 2019
Faida ya kula Tufaa (Apple) kiafya
Tunda hili hutumiwa na lina faida kubwa katika mwili wa mwanaadamu. Lina dawa ya maradhi tofauti:
Apple hutibu Anaemia
Apple lina wingi wa iron, arsenic na phosphorus, kwa mtu mwenywe ugonjwa huu inafaa kufanya juice ya apple iwe fresh. Ni vizuri kunywa juice hiyo glass moja kabla kula chakula (nusu saa kabla) na pia kabla ya kwenda kulala usiku.
Hutibu tatizo la kuharisha na kutapika
Mwenye kutokezewa na ugonjwa huu ni vizuri sana kutumia tunda hili (iwe bivu). Kila siku ale 2 pia kama yatapikwa au kuchomwa ni mazuri zaidi kwani hulainisha cellulose.
Hutibu matatizo ya tumbo.
Kuna matatizo tofauti ya tumbo, kwahivo tunda hili limekusanya matatizo yote ya tumbo na kuondoa matatizo hayo. Changanya apple, asali kidogo na ufura kidogo na kula kabla chakula hii husaidia kuondoa matatizo ya tumbo kama vile usagaji mdogo wa chakula na mengine.
Kuumwa na kichwa.
Tunda hili lina faida katika maradhi yote ya kichwa. Apple lilowiva limenye maganda yake, halafu ule kwa kutia chumvi kidogo kila siku asubugi kabla ya kula kitu chochote, na uendelee kufanya hivi kwa muda wa wiki 2.
Matatizo ya moyo
Apple ya wingi wa potassium na phosphorus lakini sodium inapatikana kidogo sana.Kwa wakai wa zamani watu walikuwa wakila matunda haya na asali, kwa ajili ya maradhi ya moyo na research imefanyika imeonekana kwa wale watu wanotumia vyakula venye potassium kwa wingi huepukana na maradhi ya moyo. Kwahili ni uzuri kula tunda hili pamoja na asali.
High Blood Pressure
Apple linasaidia katika kuongeza kutoa (secreation) mkojo ambayo hii inasaidia kurudisha blood pressure katika hali ya kawaida, pia inasaidia kupungua kwa sodium chloride katika figo..
Hutibu matatizo ya meno
Matunda haya yanasaidia sana meno katika kuyasafisha na kuyaepusha na vijidudu na kuoza, kila baada chakula kula apple moja.
FULL VIDEO: A-Z sababu za kutaka kufutwa ACT Wazalendo! ''msajili afanye mambo anayoyajua'' Zitto
Mbunge wa Kigoma Mjini ambaye pia ni Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amefunguka kuhusiana na barua iliyowafikia kutoka kwa msajili wa vyama vya siasa, Jaji Francis Mutungi ambapo ametishia kukifutia usajili Chama hicho kutokana na kukiuka Sheria ya Vyama vya Siasa ikiwamo kuchoma moto bendera ya Chama cha Wananchi (CUF).
Bobi Wine amtumia salamu za vitisho Rais Museveni ‘siku zako zinahesabika za kukaa madarakani’
Bobi Wine
Bobi Wine akihutubia maelfu ya watu waliojitokeza katika ziara yake ya kutoa shukrani mjini Arua Jumapili iliyopita, amesema kuwa 2021 hana imani kama Museveni atasalia madarakani kwani amekuwa akiminya demokrasia hata ndani ya chama chake cha NRM, hivyo hawezi kushinda uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2021.
"Nakwambia (Rais Museveni) siku zako za kukaa madarakani zinahesabika. Inaingiaje akilini kutwambia uliingia msituni kutafuta Demokrasia ile hali unashindwa hata kuonesha Demokrasia ndani ya chama chako cha NRM, Tena ukiwa tayari umefikisha miaka 33 madarakani,". amesema Bobi Wine.
Ziara hiyo ya Bobi Wine, ililenga kuwapongeza wananchi wa jimbo la Arua kwa kumchagua Mbunge Kassiano Wadri ambaye alikuwa anampigia upatu kwenye kampeni za uchaguzi mwaka jana, kabla ya kukamatwa na kupigwa na jeshi la polisi kwa kuhusishwa na vurugu za kuzuia msafara wa Rais Museveni.
Kauli hiyo, inakuja ikiwa ni siku chache zimepita tangu chama cha NRM kumtangaza kuwa, Rais Museveni ndiye atakayegombea urais mwaka 2021 kupitia chama hicho tawala.
Rais Museveni baada ya kupitishwa na chama chake, alisikika akimuonya Bobi Wine kuwa ni vyema angeendelea kwenye muziki na aachane na siasa.
Bobi Wine amejibu kauli hiyo kwenye ziara hiyo kwa kusema "Wakati yeye alivyokuwa na umri kama wangu alikuwa mchungaji, kwanini hakuendelea kuchunga na akaamua kuingia kwenye siasa?, nawambieni tuitafanya kama tulivyofanya mwaka jana hapa Arua.".
Bobi Wine amejipanga mwaka 2021 kugombea urais kama mgombea huru na tayari wanasiasa wengi wakongwe wamemtabiria kuwa atakuwa mpinzani mkubwa wa Rais Museveni.
MKUU WA MAJESHI AMTAKA RAIS ATANGAZE KUWA HANA UWEZO WA KUONGOZA NCHI


Source
CUF YAFUNGUA KESI MAHAKAMANI DHIDI YA WALIOCHOMA MOTO BENDERA NA KUBADILISHA RANGI ZA OFISI YA CUF
Katibu mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Khalifa Suleiman Khalifa amesema wamefungua kesi ya kiraia mahakama kuu ya Vuga visiwani Zanzibar dhidi ya wote waliofanya vitendo vya kijinai kwa kuchoma moto bendera na kubadilisha rangi za ofisi ya chama hicho.Mahakama ya Rufaa nchini Kenya, Imependekeza umri wa kufanya ngono uwe ni miaka 16 badala ya 18
Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imependekeza umri wa kuruhusiwa kujihusisha na ngono nchini Kenya upunguzwe kwa miaka miwili. Kwa sasa, sheria za Kenya zinaruhusu vijana wa miaka 18 na kuendelea kufanya ngono. Kwa mujibu wa BBC. Gazeti binafsi la The Standard la nchini Kenya linaripoti kuwa majaji watatu wa mahakama hiyo wapendekeza maboresho ya sheria …
The post Mahakama ya Rufaa nchini Kenya, Imependekeza umri wa kufanya ngono uwe ni miaka 16 badala ya 18 appeared first on Bongo5.com.
Source
Kapteni wa Taifa Stars Mbwana Samatta, aiomba TFF kumjumuisha Shomari Kapombe katika zawadi watakazopewa wachezaji wa Stars
Mshambuliaji wa Tanzania na klabu ya KRC Genk, Mbwana Samatta ametumia ukurasa wake wa Twitter kuliomba shirikisho la soka Tanzania TFF kumjumuisha beki wa taifa stars Shomari Kampombe katika zawadi zao ambazo waliahidiwa a mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda . Shomari kapombe.kama captain ningeomba tff imuangalie katika zawadi ambazo wachezaji watapata,ikishindikana …
The post Kapteni wa Taifa Stars Mbwana Samatta, aiomba TFF kumjumuisha Shomari Kapombe katika zawadi watakazopewa wachezaji wa Stars appeared first on Bongo5.com.
Source
Rais wa Zanzibar Aipongeza Taifa Starts kwa Ushindi
Stars imefuzu fainali hizo kwa mara ya kwanza baada ya miaka 39 kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Uganda kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam juzi.
Katika salamu zake hizo za pongezi, Rais Shein alisema wananchi wa Zanzibar na Tanzania nzima wamefarijika na ushindi huo ambao utaendelea kuipa hadhi kubwa Tanzania Kitaifa na Kimataifa katika anga za michezo.
Alieleza kuwa wananchi wa Zanzibar na Tanzania nzima wataendelea kuiunga mkono Timu yao hiyo kutokana na jitihada kubwa inazozichukua katika kuhakikisha inailetea ushindi Tanzania.
Aidha, Rais Shein alitumia fursa hiyo kuwapongeza wananchi wote kwa kuishangilia timu yao.
Alilipongeza Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Kocha mkuu wa Stars, Emmanuel Amunike, watendaji na viongozi wote waliofanikisha ushindi huo kwa kuonesha kiwango cha hali ya juu.
-
Rais Uhuru Kenyatta na viongozi wengine nchini Kenya wametuma salamu zao za rambi rambi kwa familia ya marehemu Yusuf Haji. Rais Uhuru Kenya...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe asomewa mashtaka matatu ya uchochezi, yenye nia ya kuleta ch...
-
MWANA-mfalme wa Uingereza,. Prince Charles, ambaye ni mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza, na mrithi wa kwanza katika ...
-
Vijana wametakiwa kuwa wazalendo katika nchi yao kwa kukemea vitendo viovu katika jamii na kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu. Aidha Sil...
-
Mfanyabiashara raia wa Kenya, Raphael Ongangi anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay, Dar es Salaam nchini Tanzania am...
-
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko amefunga rasmi mafunzo ya sheria za usalama barabarani kwa maaskofu na wachungaji wa makanisa ya...
-
Zikiwa zimesalia siku chache tu Hoteli Mpya ya Kisasa yenye Ubora wa hali ya juu 'SHY PARK HOTEL' ifunguliwe Rasmi mwezi Agosti 202...
-
Ng'wana Kang'wa ameachia Album Mpya inaitwa MBINA ... Ngoma zote zipo https://www.youtube.com/@ngwanakangwa .. Hii hapa ngoma inai...
-
Mara nyingi wanawake wamekuwa watu wa kukaa kimya bila kusema wanataka nini ili kuridhishwa katika mapenzi na mbaya zaidi katika swala zima ...



