Thursday, October 10, 2024

Walinda amani wa UN wajeruhiwa baada ya Israel kushambulia mnara wa ulinzi Lebanon

 Wanajeshi wawili wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa wamejeruhiwa baada ya kifaru cha Israel kufyatua risasi kuelekea mnara wa Umoja wa Mataifa kusini mwa Lebanon, Umoja wa Mataifa unasema....Source

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...