Thursday, October 10, 2024

RAIS wa Zanzibar: Wakati umefika wakurejesha diplomasia ya Uchumi

 


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema wakati umefika wakurejesha diplomasia ya Uchumi na kuendeleza biashara baina ya Zanzibar na Comoro kwa maslahi ya pande zote mbili....Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...