Monday, October 14, 2024

RAIS SAMIA ATETA NA ZUHURA YUNUS

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongea na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, jijini Mwanza leo Oktoba 14,2024 kwenye maadhimisho ya kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru....Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...