Tuesday, October 8, 2024

Mgonjwa wa mpox agundulika Uganda

 MTU mmoja amegundulika kuwa na ugonjwa wa mpox kwenye gereza la Nakasongola katika ya Uganda.

Msemaji wa Idara ya Magereza Uganda Frank Baine amesema mgonjwa huyo ametengwa na anapatiwa matitabu.

Source

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...