Tuesday, October 8, 2024

Ali Kamwe atema cheche Droo ya CAF kitaeleweka

 


ALI KAMWE ATOA NENO BAADA YA DROO YA CAF KUMALIZIKA

Leo katika Makao Makuu ya Klabu ya Yanga Jangwani mara baada ya Droo ya CAF kukamilika Afisa Habari wa klabu ya Yanga Ali Kamwe ametoa neno lake juu ya hali ya Kundi A ambalo yanga yupo.

Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5 Source

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...