Wednesday, October 9, 2024

Dj Young super afunguka kushinda tuzo ya DJ bora

 

Baada Ya kushinda Tuzo Ya Africa arts entertainment awards (Aaea) Kama Dj Bora @djyoungsuper.tz Amezungumza Na Wanahabari Na kuzungumzia Furaha Yake Kupata Tuzo Hiyo

Dj Huzo Pia Amesema Ufanyaji Wake Kazi Na Msanii Harmonize Nikwasababu Wamekua Na chemistry Nzuri Ambayo Hadhani Kama Inamuathiri Dj Yoyote Mwingine

Pia Dj Huyo Amesema Dj Kama Dj AlyB inabidi Akubali Kua Sasa Niwakati Wa New generation Na wako Vizuri Source

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...