Wednesday, October 9, 2024

Billioni 3.5 zatumika ujenzi hospitali wilaya ya Kibaha, Bashungwa aikagua

 


Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha na kuridhishwa na matumizi ya fedha yaliyotolewa kwa awamu na Serikali ambapo kiasi cha Shilingi Bilioni 3.5 kimetumika katika ujenzi wa majengo mbalimbali katika Hospitali hiyo... Source

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...