Wednesday, October 9, 2024

Ligi Kuu wanawake kuanza kutimua vumbi leo

 PAZIA la Ligi Kuu ya mpira wa miguu kwa wanawake Tanzania Bara msimu wa 2024/2025 linafunguliwa leo kwa michezo mitano viwanja tofauti.

Bingwa wa simu uliopita Simba Queens itaanza kampeni kutetea taji hilo dhidi ya Mlandizi Queens kwenye uwanja wa Kituo cha Ufundi cha TFF, Kigamboni Dar es salaam.

Miamba mingine ya soka la wanawake Yanga Princess itaanza kampeni ugenini dhidi ya Bunda Queens kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma mkoa wa Mara... Source

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...