Wednesday, October 9, 2024

Wajasiriamali wahimizwa kurasimisha biashara zao

 


MBUNGE wa Jimbo la Busanda , Tumaini Brygeson Magessa amewataka wajasiriamali wanaoshiriki katika maonesho ya 7 ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini katika viwanja vya EPZA Bombambili mkoa wa Geita kutumia fursa hiyo kurasimisha biashara zao ili ziweze kukua.....Source

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...