Tuesday, October 8, 2024

Mambo yanoga ufunguzi msimu wa korosho

 MTWARA; WAKATI msimu wa uuzaji wa korosho ukikaribia kufunguliwa, Mamlaka ya Bandari ya Mtwara imesema meli tatu na kontena zaidi ya 1000 zimeshawasili bandarini hapo kwa ajili ya kuhudumia mizigo ya korosho zinatakazosafirishwa kwenda nje ya nchi.

“Hadi sasa hivi tumeshapokea meli tatu za korosho na kontena zaidi ya 1000,” Meneja wa Bandari wa Bandari Fernard Nyathi amesema na kuongeza kuwa makasha ya kubeba korosho yamewasili mapema tofauti na msimu wa mwaka jana.

Source

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...