Sunday, January 9, 2022

Country boy aondoka Konde Gang

upitia akaunti ya Konde Gang wameandima ujumbe huu:- TAARIFA: Mkataba Kati Ya Konde Music Worldwide Na @countrywizzy_tz Umemalizika Hii Leo Tar 8 January 2022. Kuanzia Leo Country Wizzy Atakuwa Msanii Anaejitegemea Baada Ya Kufikia Makubaliano Ya Pande Zote Mbili. Konde Music Worldwide Inamtakia Kila Lenye Kheri Country Wizzy Kwenye Career Yake Ya Music Pamoja Na …

The post Country boy aondoka Konde Gang appeared first on Bongo5.com.

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumapili, Januari 9, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 9, 2022 Usipitwe na Matukio, Install App Yako ya Kijanja...

The post Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumapili, Januari 9, 2022 appeared first on Global Publishers.

Orodha ya Mawaziri walioteuliwa na Rais Samia

Rais Samia afanya mabadiliko ya baraza la mawaziri na kubuni wizara mpya Akitangaza mabadiliko hayo, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Kattanga amesema Rais amefanya mabadiliko ya muundo katika wizara tatu. Rais Samia ”ameunganisha wizara tatu, iliyokuwa wizara ya uwekezaji iliyokuwa chini ya ofisi ya Waziri Mkuu na pia ameunganisha wizara ya biashara moja ambayo itaitwa …

The post Orodha ya Mawaziri walioteuliwa na Rais Samia appeared first on Bongo5.com.

Saturday, January 8, 2022

Simba Queens Yaichakaza Vibaya Yanga Princes

SIMBA Queens imeendeleza rekodi ya ubabe mbele ya Yanga Princess kwa kuendeleza vipigo kwenye msimu wao wa nne mfululizo baada ya kuibuka na ushindi wa...

The post Simba Queens Yaichakaza Vibaya Yanga Princes appeared first on Global Publishers.

Achomwa Moto na Rafiki Yake Kisa Mke

Daud Emanuel (27) mkazi wa Chamwino Manispaa ya Morogoro, amenusurika kifo baada ya kumwagiwa mafuta ya petroli kisha kuchomwa moto na rafiki yake aliyefahamika kwa...

The post Achomwa Moto na Rafiki Yake Kisa Mke appeared first on Global Publishers.

Rais Samia afanya mabadiliko ya baraza la mawaziri na kubuni wizara mpya

Rais wa Tanzani Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya baraza la mawaziri na kubuni wizara mpya

Barabara Ndefu Zaidi Duniani Chini ya Ziwa Yaanza Kufanya Kazi

IKIWA ni takriban miaka minne ya ujenzi, barabara ndefu zaidi ya chini ya maji nchini China, hatimaye barabara hiyo imeanza kutumika kwa kupitisha magari chini...

The post Barabara Ndefu Zaidi Duniani Chini ya Ziwa Yaanza Kufanya Kazi appeared first on Global Publishers.

Je ni yapi manufaa viliyoyapata vyama vya upinzani Tanzania kwa kujiuzulu kwa Spika Ndungai?

Kung'atuka madarakani kwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai mnamo Januari 6, 2022 kumetajwa kuwa ni matokeo ya mwenendo wake na ndiye chanzo cha kuporomoka utendaji bora wa bunge miongoni mwa madoa ambayo yamechafua uongozi wake.

Sarah wa Harmonize Mikononi Mwa Sallam

MIONGONI mwa tuhuma nzito zilizotolewa na staa wa Bongo Fleva, Harmonize au Konde Boy Mjeshi siku ile ya Novemba 18, 2021 katika Uwanja wa Ndege...

The post Sarah wa Harmonize Mikononi Mwa Sallam appeared first on Global Publishers.

Yanga v Azam, Simba v Namungo Nusu Fainali Mapinduzi

KITU pekee ambacho mashabiki wa Simba na Yanga wanakifurahia kwa sasa ni kuziona timu hizo zikiendelea kukipiga kwenye Kombe la Mapinduzi licha ya kubanwa kwenye...

The post Yanga v Azam, Simba v Namungo Nusu Fainali Mapinduzi appeared first on Global Publishers.

Barua kutoka Afrika:Jinsi KFC nchini Kenya ilivyokaangwa kuhusu uhaba wa chipsi

Kampuni hiyo haitoi viazi ndani ya nchi, licha ya kwamba vinakuzwa kwa wingi na wakulima kulazimika kuviuza kwa bei ya chini

Tambo za wachezaji kabla ya Derby Yanga Princess dhidi ya Simba Queens (+Video)

Hapo kesho siku ya Jumamosi ya Januari 8, 2022 miamba miwili inayobeba taswira ya soka kwa upande wa wanake nchini, Yanga Princess dhidi ya Simba Queens inatarajia kushuka katika dimba la Benjamin Mkapa kuonyeshana ubavu kunako Ligi Kuu ya Wanawake. Kuelekea katika Derby hiyo kocha na manahodha wa timu zote mbili walipata fursa ya kujimwambafai …

The post Tambo za wachezaji kabla ya Derby Yanga Princess dhidi ya Simba Queens (+Video) appeared first on Bongo5.com.

Biteko akemea migogoro maeneo ya wachimbaji 

Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amewataka wachimbaji wa madini wa vijiji vya Lubungo Kata ya Mikese na Maseyu Kata ya Dwata wilaya ya Morogoro kuachana na migogoro katika maeneo yao ya uchimbaji na badala yake washirikiane katika shughuli zao cha uchimbaji madini. Dkt. Biteko ametoa kauli hiyo alipotembelea vijiji hivyo vyenye shughuli za uchimbaji …

The post Biteko akemea migogoro maeneo ya wachimbaji  appeared first on Bongo5.com.

Christine Mboma wa Namibia ashinda tuzo ya mwanamichezo bora wa BBC Afrika 2021

"Ninatoa tuzo hii ya BBC kwa Wanamibia wote. Hii ni [tuzo] kwa kazi ngumu niliyofanya."

Friday, January 7, 2022

‘Binti’ imefanikiwa kuwa filamu ya kwanza ya Tanzania kuonekana Netflix duniani kote (+ Video)

Siku ya leo washiriki wa movie ya Binti wamezungumza na wana habari wakieleza furaha yao baada ya movie yao hiyo kuchaguliwa na Netflix kuwa itaonekana dunia nzima badala ya Afrika tu kama movie zingine zinavyoonyesha na Netflix Afrika.

The post ‘Binti’ imefanikiwa kuwa filamu ya kwanza ya Tanzania kuonekana Netflix duniani kote (+ Video) appeared first on Bongo5.com.

Mwalimu Mstaafu Afia Gesti Baada ya Kujiburudisha na Mrembo

Polisi kaunti ya Nakuru nchini Kenya wanachunguza kisa ambapo mwalimu aliyekuwa amestaafu aliaga dunia kwa njia ya kutatanisha baada ya kujiburudisha na mwanamke katika lojing’i...

The post Mwalimu Mstaafu Afia Gesti Baada ya Kujiburudisha na Mrembo appeared first on Global Publishers.

Breaking: Wabunge Waitwa Bungeni Dodoma

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Nenelwa Mwihambi leo Ijumaa, Januari 7, 2022 amesema baada ya Job Ndugai kujiuzulu nafasi ya Uspika...

The post Breaking: Wabunge Waitwa Bungeni Dodoma appeared first on Global Publishers.

Eto’o: Afrika Tunadharauliana

NGULI wa zamani wa Soka wa Cmaeroon na Rais wa Shirikisho la Soka nchini humo, Samuel Eto’o amesema kuwa Mataifa ya Afrika yanayo nafasi kubwa...

The post Eto’o: Afrika Tunadharauliana appeared first on Global Publishers.

Biden amshushia lawama Trump kwa uasi uvamizi wa jengo la bunge Marekani

Rais Joe Biden na makamu wake wa rais Kamala Harris wamelihutubia taifa kukumbuka uasi uliotokea kwenye bunge la Marekani siku kama ya leo mwaka mmoja uliopita. Makamu wa rais Kamala Harris amesema siku hiyo taasisi ya demokrasia ilishambuliwa. Amesema demokrasia itakuwa hatarini ikiwa waasi watafanikiwa. Makamu huyo wa rais wa Marekani amewataka raia waungane ili …

The post Biden amshushia lawama Trump kwa uasi uvamizi wa jengo la bunge Marekani appeared first on Bongo5.com.

Yanga Yatumia Sh 50Mil Kuwapora Straika Simba

IMEFAHAMIKA kuwa uongozi wa Yanga umetumia Sh 50Mil kufanikisha usajili wa mshambuliaji wa Mbeya Kwanza, Chrispin Ngushi aliyekuwa akiwindwa pia na Simba na kumpa mkataba...

The post Yanga Yatumia Sh 50Mil Kuwapora Straika Simba appeared first on Global Publishers.

Tanzania: Kwanini Ndugai amejiuzulu? na historia ikoje?

Aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai (59), amejiuzulu wadhifa wake kupitia barua aliyoandika jana kwenda kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Tafiti zinaonesha uchimbaji madini umekuwa ukifanywa na wanaume kuliko wanawake – Waziri Biteko (+Video)

Tafiti zinaonesha kuwa, uchimbaji wa madini kwa miaka mingi umekuwa ukifanywa na wanaume kuliko wanawake  ambapo kati ya wachimbaji wadogo wa madini 100, wanawake ni 7 peke yake. Hayo ameyasema Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko alipokuwa akizungumza na wachimbaji madini wilayani Gairo mkoani Morogoro Huko nyuma wachimbaji wadogo wote nchini walikuwa wanachangia chini ya …

The post Tafiti zinaonesha uchimbaji madini umekuwa ukifanywa na wanaume kuliko wanawake – Waziri Biteko (+Video) appeared first on Bongo5.com.

Spika wa Bunge la Tanzania Job Ndugai ajiuzulu

Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amejiuzulu wadhifa wake .

Lusajo Mchezaji Bora Desemba

KIUNGO mshambuliaji wa timu ya Namungo FC, Reliant Lusajo amechaguliwa Mchezaji Bora wa mwezi Desemba wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Kwa mujibu wa taarifa ya...

The post Lusajo Mchezaji Bora Desemba appeared first on Global Publishers.

Kijana Atuhumiwa Kumuua Mpezi Wake

Maafisa upelelezi nchini Kenya wamemkamata kijana aitwaye Brian Waweru mwenye umri wa miaka 25, kwa tuhuma za utekelezaji wa mauaji ya kinyama aliyoyafanya kwa mpenzi...

The post Kijana Atuhumiwa Kumuua Mpezi Wake appeared first on Global Publishers.

Thursday, January 6, 2022

Job Ndugai ajiuzulu kama spika wa Bunge la Tanzania

Kwa mujibu wa barua aliyomuandikia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amesema uamuzi huo wa kuachia nafasi hiyo ameufanya kwa hiari.

NMB yachezesha droo ya kwanza MastaBata

Benki ya NMB imechezesha draw yake ya kwanza ya MASTABATA KIVYAKO VYAKO, ambapo jumla ya sh million kumi zimeenda kwa washindi wa draw hiyo waliopatikana baada ya kutumia kadi zao za NMB MASTER CARD kufanya manunuzi mbalimbali. Akiongea kabla ya kuchezesha draw hiyo makao makuu ya benki ya NMB jijini dar es salaam, ambapo jumla …

The post NMB yachezesha droo ya kwanza MastaBata appeared first on Bongo5.com.

Urusi inaibua kitisho cha kiusalama Ulaya – Marekani, Ujerumani

Mawaziri wa mambo ya nje wa Marekani na Ujerumani wamesema hatua ya Urusi ya kuongeza wanajeshi wake karibu na mpaka wa Ukraine inaibua kitisho cha ghafla na cha dharura dhidi ya usalama barani Ulaya. Mawaziri hao wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken na Annalena Baerbock wa Ujerumani wamesema ni kwa maana hiyo uingiliaji wowote …

The post Urusi inaibua kitisho cha kiusalama Ulaya – Marekani, Ujerumani appeared first on Bongo5.com.

Lil Ommy: Mimi ni mtangazaji nisingeacha kumuuliza Dully Sykes swali na alikataa kulijibu lile swali (+ Video)

Mtangazaji wa kituo cha habari cha Wasafi Fm anayefanya kipindi cha The Switch katika kipindi hicho Omary Rajabu Tambwe alimaarufu Lil Ommy ameamua kujibu kuhusu tuhusu alizotupiwa na Harmonize kuwa alimchonganisha na Dully Sykes.

The post Lil Ommy: Mimi ni mtangazaji nisingeacha kumuuliza Dully Sykes swali na alikataa kulijibu lile swali (+ Video) appeared first on Bongo5.com.

Shatta Wale Akoleza Bifu Lake na Burnaboy

Msanii wa Ghana Shatta Wale ameendeleza vita yake ya maneno dhidi ya Burnaboy kutoka Nigeria kwa kusema matajiri hawajionyeshi ila masikini ndio wanataka kujionyesha kwa...

The post Shatta Wale Akoleza Bifu Lake na Burnaboy appeared first on Global Publishers.

Chanzo ni Saa, Mwalimu Ampa Mimba Mwanafunzi wa Miaka 15

WAZAZI na wa mwanafunzi wa kike (15) aliyekuwa anasoma kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Kolero wilayani Morogoro (jina limehifadhiwa), wamelilalamikia jeshi la polisi...

The post Chanzo ni Saa, Mwalimu Ampa Mimba Mwanafunzi wa Miaka 15 appeared first on Global Publishers.

Mambo 5 ambayo yamegunduliwa tangu kuzuka kwa janga la covid

Imepita miaka miwili tangu virusi vipya vya corona kugunduliwa baada ya mlipuko wa ugonjwa huo nchini China.

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Januari 6, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 6, 2022 Usipitwe na Matukio, Install App Yako ya Kijanja...

The post Yasome Hapa Magazeti ya Leo Januari 6, 2022 appeared first on Global Publishers.

Nani kucheka, kulia upepo mkali wa Rais Samia Tanzania?

Tanzania bado ipo katika mjadala mkali kufuatia matamshi ya Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan kuwa anakusudia kufanya mabadiliko ya baraza la mawaziri hivi karibuni, ili kuwaondoa wale wote wanaojishughulisha zaidi na siasa za uchaguzi wa 2025 hivyo kudumaza utendaji wa serikali yake.

Wednesday, January 5, 2022

Mnatishia watu, mnadanganya – Haji Manara (+Video)

Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Haji Manara ameonekana kama vile ametupa dongo gizani kwa watani wao wa jadi Simba SC kwa kile walichokifanya kuposti picha ya mchezaji ambaye anamuonekano wa mwamba wa Lusaka, Clatous Chama ambaye mpaka sasa hakuna taarifa za kuaminika kuwa wamemsajili. ”Mnatishia watu, mnawavalisha maski, mnadanganya,” – Haji Manara Afisa Habari …

The post Mnatishia watu, mnadanganya – Haji Manara (+Video) appeared first on Bongo5.com.

DStv Yafungua Mwaka Na Panda Tukupandishe!

Mwaka 2022 unaanza na habari njema kwa wateja wa DStv! Kuanzia tarehe 5 Januari 2022, DStv itaanza promosheni yake kabambe ijulikanayo kama 'Panda Tukupandishe' ambapo...

The post DStv Yafungua Mwaka Na Panda Tukupandishe! appeared first on Global Publishers.

TANESCO Watangaza Gharama Mpya za Kuunganisha Umeme

  Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), limetangaza gharama mpya za kuunganisha umeme, ambapo vijijini ni shilingi 27,000 bila kujali umbali wala idadi ya nguzo na...

The post TANESCO Watangaza Gharama Mpya za Kuunganisha Umeme appeared first on Global Publishers.

Korea Kaskazini yafyatua kombora la masafa marefu, Japan, Korea Kusini zapata wasiwasi

Korea Kusini na Japan zinasema Korea Kaskazini imefyatua kile kinachoonekana kuwa kombora la masafa marefu kuelekea baharini mapema leo. Hili ndilo kombora la kwanza la aina hiyo kufyatuliwa na Korea Kaskazini mwaka huu. Kulingana na taarifa ya muungano wa wanadhimu wakuu katika jeshi la Korea Kusini, kombora hilo lilirushwa katika bahari mashariki mwa rasi ya …

The post Korea Kaskazini yafyatua kombora la masafa marefu, Japan, Korea Kusini zapata wasiwasi appeared first on Bongo5.com.

Live: Yanga Wanatoa Tamko Maalum, Manara Anazungumza Muda Huu..

 UONGOZI wa klabu ya Yanga, leo Januari 05, 2022, wamezungumza na wanahabari kuhusiana na uamuzi wao wa kuunganisha wanawachama na klabu yao kidigitali. SIKILIZA...

The post Live: Yanga Wanatoa Tamko Maalum, Manara Anazungumza Muda Huu.. appeared first on Global Publishers.

Watu 9 wamefariki katika ajali ya boti Zanzibar huku uokoaji ukiendelea

Watu tisa wamepatikana wamefariki dunia, sita kuokolewa wakiwa hai na wengine zaidi ya kumi hawajulikani walipo baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama baharini huko Mkoa wa Kusini Pemba. Zanzibar.

Yanga Yamalizana na Mshambuliaji wa Mbeya Kwanza

CRISPIN Ngushi, aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya Kwanza sasa rasmi ni mali ya Yanga. Nyota huyo ndani ya Ligi Kuu Bara ametupia jumla ya mabao matatu...

The post Yanga Yamalizana na Mshambuliaji wa Mbeya Kwanza appeared first on Global Publishers.

Hakuna Atakayegongewa Mlango Kudaiwa Deni la Taifa – Video

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza kuwa deni la taifa ni himilivu na kwamba hakuna Mtanzania yeyote atakayegongewa mlango wake ama kuamriwa...

The post Hakuna Atakayegongewa Mlango Kudaiwa Deni la Taifa – Video appeared first on Global Publishers.

Mtu Mwenye Umri Mkubwa Zaidi Duniani Afikisha Miaka 119

Kane Tanaka, mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani, alifikisha umri wa miaka 119 Jumapili, kwa mujibu wa ujumbe wa Twitter uliochapishwa na mjukuu wake wa...

The post Mtu Mwenye Umri Mkubwa Zaidi Duniani Afikisha Miaka 119 appeared first on Global Publishers.

Tuesday, January 4, 2022

Simu za Blackberry zaacha kufanya kazi kuanzia leo

Kwa wale watumiaji wa simu za BlackBerry kuanzia sasa kamwe hawataweza kufanya matumizi ya kupiga simu, kutuma ujumbe ama kujiunga na intaneti. Kampuni inayozalisha simu hizo za BlackBerry, leo siku Jumanne imesema kuwa itaacha kutumia vifaa vyake vinavyotumia BlackBerry 10, 7.1 OS na matoleo yote ya awali. Hii ikimaanisha kuwa vifaa vyake vya zamani ambavyo …

The post Simu za Blackberry zaacha kufanya kazi kuanzia leo appeared first on Bongo5.com.

Rais Samia:Tamaa za 2025 zinaondoka

"Mtu na akili yake anasimama na anahoji kuhusu mikopo na tozo, sio lolote ni homa ya 2025, kwa mtu ambaye nilimtegemea kushirikiana naye kwenye maendeleo, sikutegemea kama angesimama na kusema maneno hayo" alisema rais Samia

Rais Samia alivyomjulia hali Mufti wa Tanzania Hospitalini Muhimbili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimjulia hali Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Bin Zubeir anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Januari 2022.

The post Rais Samia alivyomjulia hali Mufti wa Tanzania Hospitalini Muhimbili appeared first on Bongo5.com.

Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali ambao watamsaidia katika maeneo mbalimbali ya kiutendaji katika serikali...

The post Rais Samia Afanya Uteuzi Mpya appeared first on Global Publishers.

Mataifa matano yenye nguvu duniani yaahidi kuzuia ongezeko la silaha za nyuklia

Mataifa matano yenye nguvu kubwa kinyuklia ulimwenguni yameahidi kuzuia ongezeko la silaha za nyuklia na kusema vita vya silaha hizo haviwezi kuwa chaguo na ni lazima vizuiwe kwa nguvu zote. Yamesema silaha za nyuklia zinatakiwa kutumika kwa ajili ya ulinzi, kuzuia uingiliaji na vita. China, Ufaransa, Urusi, Uingereza na Marekani wametoa ahadi hiyo jana katika …

The post Mataifa matano yenye nguvu duniani yaahidi kuzuia ongezeko la silaha za nyuklia appeared first on Bongo5.com.

Aquamation: Utaratibu uliotumiwa 'kuuyeyusha' mwili wa Hayati Desmond Tutu

Tishu za mwili hupasuka katika mchakato huo na mifupa tu inabaki. Hizi huoshwa kwa joto la 120 ° C, kukaushwa na kusagwa kwa unga kwa kutumia mashine iitwayo kremulator.

Msaidizi wa Rais Kikwete Afariki Dunia

Ofisi Binafsi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete imethibitisha kutokea kwa kifo cha Katibu wa Rais Mstaafu, Adam Issara kilichotokea...

The post Msaidizi wa Rais Kikwete Afariki Dunia appeared first on Global Publishers.

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Januari 4, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 4, 2022 Usipitwe na Matukio, Install App Yako ya Kijanja...

The post Yasome Hapa Magazeti ya Leo Januari 4, 2022 appeared first on Global Publishers.

Ujenzi daraja la Wami na barabara zake wafikia asilimia 70.4 – Msigwa

Kupitia ukurasa wa Instagram ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ameandika ujumbe huu:- Ujenzi daraja la Wami na barabara zake wafikia asilimia 70.4 : Dondoo 1. Lina urefu wa meta 510 2. Gharama ya ujenzi ni Bilioni 67.777 3. Litakamilika tarehe 21 Novemba, 2022. Kudos TANROADS.

The post Ujenzi daraja la Wami na barabara zake wafikia asilimia 70.4 – Msigwa appeared first on Bongo5.com.

Watoto mapacha, mmoja azaliwa Desemba 2021, mwingine Januari 2022

Mwanamke mmoja kutoka mji wa California nchini Marekani, Fatima Madrigal amejifungua watoto mapacha wawili waliopishana dakika 15, mmoja akizaliwa mwaka 2021 na mwingine mwaka 2022. Fatima na mumewe Robert Trujillo walipata watoto hao ambapo mmoja wa kiume alizaliwa Desemba 31 majira ya saa 5:45 usiku aliyepewa jina la Alfredo na baada ya dakika 15 ambayo …

The post Watoto mapacha, mmoja azaliwa Desemba 2021, mwingine Januari 2022 appeared first on Bongo5.com.

Monday, January 3, 2022

NMB yahitimisha promosheni ya bonge la mpango II na washindi 32

Kampeni ya Benki ya NMB ya kuwahamasisha wateja wake kuweka akiba ya Bonge la Mpango II ilifungwa rasmi wiki iliyopita kwa washindi 32 kujinyakulia zawadi zenye thamani ya TZS milioni 100. Miongoni mwa washindi wa droo ya mwisho ya promosheni hiyo kabambe walikuwa ni wateja 22 wa NMB walioshinda pikipiki za miguu mitatu aina ya Skymark ambazo bei ya kila moja ni TZS Milioni …

The post NMB yahitimisha promosheni ya bonge la mpango II na washindi 32 appeared first on Bongo5.com.

Simba Yazindua Jezi Mpya Tena

KLABU ya Simba wamezindua jezi zao mpya leo Jumatatu, Januari 3, 2022, kuelekea mchezo wao katika Michuano ya Mapinduzi Cup.   Jezi hizo zimezinduliwa visiwani...

The post Simba Yazindua Jezi Mpya Tena appeared first on Global Publishers.

Pacha Wawili wazaliwa, Watofautiana Mwaka

Mwanamke mmoja kutoka mji wa California nchini Marekani, Fatima Madrigal amejifungua watoto mapacha wawili waliopishana dakika 15, mmoja akizaliwa mwaka 2021 na mwingine mwaka 2022....

The post Pacha Wawili wazaliwa, Watofautiana Mwaka appeared first on Global Publishers.

Tunakwenda kuchukua kombe la Mapinduzi, wengine ndo Kombe lao – Ahmed Ally aanza na mkwara

Saa chache tu baada ya Mabingwa wa Nchi na Miamba ya soka Afrika Mashariki na Kati Simba SC kumtangaza aliyekuwa Mwandishi wa Habari wa Azam Tv, Ahmed Ally kuwa Afisa Habari wa klabu hiyo. Hatimaye Ahmed Ally ametupa dongo kwa watani zao wa jadi Yanga SC kwa kuwaambia kuwa wanakwenda kulichukua Kombe la Michuano ya …

The post Tunakwenda kuchukua kombe la Mapinduzi, wengine ndo Kombe lao – Ahmed Ally aanza na mkwara appeared first on Bongo5.com.

Spika Ndugai: Sikukashifu serikali wala jitihada za Rais Samia

"Katika hotuba yangu hakukuwa na kashifa au kutounga mkono juhudi za serikali zaidi nilisisitiza tulipe kodi, ushuru na tozo mbalimbali" amesema

Shatta Wale Akubali Kuzichapa na Burna Boy

HATIMAYE mwanamuziki machachari kutoka nchini Ghana, Charles Nii Armah maarufu Shatta Wale, amekubali ombi la pambano la masumbwi na msanii Burna Boy ili kumaliza chuki...

The post Shatta Wale Akubali Kuzichapa na Burna Boy appeared first on Global Publishers.

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Januari 3, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 3, 2022 Usipitwe na Matukio, Install App Yako ya Kijanja...

The post Yasome Hapa Magazeti ya Leo Januari 3, 2022 appeared first on Global Publishers.

Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok ajiuzulu baada ya maandamano makubwa

Kujiuzulu kwa Abdalla Hamdok kunajiri wiki kadhaa baada ya kurejeshwa na jeshi kufuatia mapinduzi.

Michuano ya draft yaanzishwa kutafuta bingwa, Njombe

Mkoa wa Njombe umezindua michuano ya draft na kupata mamia ya washiriki wa rika tofauti kutafuta rekodi ya kuwa bingwa wa mkoa kwa kwa mara ya kwanza wa mchezo huo uliyoandaliwa na kampuni ya Mwechimpya. Washiriki 16 kutoka maeneo tofauti ya mkoa huo wamejitokeza kushiriki huku kiasi cha laki 8 kikiandaliwa kwa zawadi za washindi …

The post Michuano ya draft yaanzishwa kutafuta bingwa, Njombe appeared first on Bongo5.com.

Wachimbaji wadogo wa madini waaswa kupunguza migogoro (+Video)

WACHIMBAJI wadogo wa madini nchini wametakiwa kuachana na migogoro inayosababisha kusimama kwa shughuli zao na wajikite katika shughuli za uchimbaji zenye tija kwa Taifa. Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko ametoa wito huo leo Januari 2, 2022 alipotembelea na kuzungumza na wachimbaji wadogo katika Mgodi wa Mahagi uliopo Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita. Akizungumzia eneo …

The post Wachimbaji wadogo wa madini waaswa kupunguza migogoro (+Video) appeared first on Bongo5.com.

Hiace yagonga lori, nane wafariki papo hapo Kenya

Watu nane akiwemo dereva wa gari ndogo ya abiria aina ya daladala wamefariki dunia papo hapo baada ya kuligonga lori lililokuwa limesimama eneo la Musembe, Barabara kuu ya Eldoret-Webuye nchini Kenya. Hakuna aliyenusurika katika ajali hiyo iliyotokea alfajiri ya siku ya Jumapili, Kamanda wa polisi nchini humo Perris Kimani amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na …

The post Hiace yagonga lori, nane wafariki papo hapo Kenya appeared first on Bongo5.com.

Sunday, January 2, 2022

Moto wasababisha hasara kubwa Colorado, Marekani

Takriban nyumba elfu moja zimeharibiwa na moto katika jimbo la Colorado Magharibi mwa Marekani, jana Jumamosi huku watu watatu wakihofiwa kufariki Dunia. Moto huo ulioanza siku ya Alhamisi umesababisha takriban watu elfu 30 kuyakimbia makaazi yao katika maeneo ya Louisville na Superior, kaskazini mwa mji wa Denver. Mkuu wa kituo cha polisi cha Boulder, Joe …

The post Moto wasababisha hasara kubwa Colorado, Marekani appeared first on Bongo5.com.

Mwanasheria Mkuu wa Kwanza Kenya Afariki

Mwanasheria mkuu wa kwanza wa raia wa Kenya bwana Charles Njonjo amefariki dunia akiwa na miaka 101. Rais Uhuru Kenyatta ametangaza leo Jumapili, Januari 2, ...

The post Mwanasheria Mkuu wa Kwanza Kenya Afariki appeared first on Global Publishers.

Moto mkubwa wawaka katika jengo la bunge la Afrika Kusini mjini Cape Town

Moshi mkubwa umeonekana ukitokea jengo la bunge Jumapili asubuhi.

Serikali ya Mpito Yapendekeza Uchaguzi Usogezwe kwa Miaka 5

Serikali ya Mpito Nchini Mali, imependekeza mchakato wa kurejea katika utawala wa kidemokrasia kufuatia mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2020 kusogezwa mbele kwa miaka mitano....

The post Serikali ya Mpito Yapendekeza Uchaguzi Usogezwe kwa Miaka 5 appeared first on Global Publishers.

Mbeya City Wamfuata Kabwili

UKISEMA wa nini wenzako wanajiuliza watampata lini. Hivyo ndivyo ilivyo kwa Mbeya City ambapo inaelezwa kuwa imepeleka ofa ya kumsajili kipa namba tatu wa Yanga,...

The post Mbeya City Wamfuata Kabwili appeared first on Global Publishers.

Pasta Azindua Nguo za Ndani Zenye Sura Yake Kuwasaidia Warembo Kupata Waume

Pasta  Dr J.S. Yusuf wa  wa Kanisa la Touch for Recovery Outreach International mjini Abuja  amezindua nguo za ndani na sindiria zenye chapa ya picha...

The post Pasta Azindua Nguo za Ndani Zenye Sura Yake Kuwasaidia Warembo Kupata Waume appeared first on Global Publishers.

Saturday, January 1, 2022

Barbara Apigwa Faini ya Laki Tano

    KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania Bara TBLP katika kikao chake cha Desemba 30, 2021 ilipitia mwenendo wa matukio mbalimbali...

The post Barbara Apigwa Faini ya Laki Tano appeared first on Global Publishers.

Tunawatakia Kheri ya Mwaka Mpya 2022!

Tumeingia mwaka mpya wa 2022, tunatumaini utakuwa ni mwanzo mzuri wa Mipango na Mikakati katika shughuli zao za kila siku ikiwemo utumiaji mzuri wa Mitandao...

The post Tunawatakia Kheri ya Mwaka Mpya 2022! appeared first on Global Publishers.

Afrika Kusini yafanya mazishi ya kitaifa kwa ajili ya Askofu mkuu Desmond Tutu

Ibada ya wafu ya mwanaharakati aliyepinga ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini Askofu Mkuu Desmond Tutu inafanyika katika Kanisa kuu mjini Cape Town.

Jinsi Putin aliweza kurejesha hadhi ya Urusi kama taifa lenye nguvu duniani baada ya kuanguka kwa USSR miaka 30 iliyopita

Kuanguka kwa ghafla kwa USSR, milki kubwa ambayo ilikuwa imedhibiti aina mbalimbali za majimbo washirika kwa miaka 70 na kueneza ushawishi wake wa kijiografia katika nusu ya dunia, lilikuwa tukio la mabadiliko ya ulimwengu.

Fungua Mwaka Kwa Faida Kwa Kubashiri Na Meridianbet

Mwaka 2022 unaanza kwa michezo ya kukata na shoka kunako mchezo wa soka. EPL katika ubora wake wikiendi hii. Anza mwaka mpya kwa kutandaza jamvi...

The post Fungua Mwaka Kwa Faida Kwa Kubashiri Na Meridianbet appeared first on Global Publishers.

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Januari 1, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Januari 1, 2022 Usipitwe na Matukio, Install App Yako ya Kijanja...

The post Yasome Hapa Magazeti ya Leo Januari 1, 2022 appeared first on Global Publishers.

Lema Lissu Waamua Kurejea Nchini

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema Kamati Kuu ya Chama chake imeadhimia yeye pamoja na mwanasiasa Godbless Lema kurejea nchini ili kushiriki shughuli...

The post Lema Lissu Waamua Kurejea Nchini appeared first on Global Publishers.

Mwaka 2022 ni mwaka wa Sensa ya Watu na Makazi hivyo nahimiza Watanzania kujitokeza kuhesabiwa

Mwaka 2022 ni mwaka wa Sensa ya Watu na Makazi hivyo nahimiza Watanzania kujitokeza kuhesabiwa ili tuweze kupata takwimu zitakazotusaidia katika kupanga kwa usahihi masuala ya maendeleo – @SuluhuSamia

The post Mwaka 2022 ni mwaka wa Sensa ya Watu na Makazi hivyo nahimiza Watanzania kujitokeza kuhesabiwa appeared first on Bongo5.com.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...