Mawaziri wa mambo ya nje wa Marekani na Ujerumani wamesema hatua ya Urusi ya kuongeza wanajeshi wake karibu na mpaka wa Ukraine inaibua kitisho cha ghafla na cha dharura dhidi ya usalama barani Ulaya. Mawaziri hao wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken na Annalena Baerbock wa Ujerumani wamesema ni kwa maana hiyo uingiliaji wowote …
The post Urusi inaibua kitisho cha kiusalama Ulaya – Marekani, Ujerumani appeared first on Bongo5.com.