Wachimbaji wa madini wametakiwa kuzingatia uchimbaji salama katika maeneo ya migodi yao ili waweze kufanya shughuli za uchimbaji madini kwa tija na migodi iendelee kubaki salama. Hayo yamesemwa na Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko Desemba 29, 2021 alipokutana na kuzungumza na wachimbaji wa madini ya dhahabu katika eneo la machimbo la Nyamalimbe Makarashani lililopo …
The post Uchimbaji salama wa migodi ni ajenda ya kudumu – Dkt. Biteko (+Video) appeared first on Bongo5.com.