WARIDI WA BBC : Nilipofika Gerezani , lilikuwa sio jambo rahisi kumtazama baba ana kwa ana
Damaris Kimani anapoyasimulia maisha yake, unaweza kufikiria kana kwamba unafuatilia sinema ya maisha , lakini ni hali halisi aliyoishi katika maisha ya miaka 21 ya uhai wake.