Katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Shahidi amesema alilazimishwa kutoa rushwa kwa kutishiwa kwamba atapotezwa au kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi. Akizungumza leo, Shahidi, Francis Mrosso ameileza mahakama kwamba Sabaya alimuonya kwamba asipotoa milioni 90 angepotezwa. Amesema hata baada ya kutoka ofisini kwake akiwa na vijana …
The post Shahidi wa 10 aeleza alivyolazimishwa kutoa rushwa na kina Sabaya appeared first on Bongo5.com.