Kesi ya uhujumu uchumi Na 27/2021 inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita inaendelea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Shahidi namba 10, ambaye ndiyr muathirika katika tukio hilo Francis Mrosso anendelea na kutoa ushahifi wake. Bongo5.com inakusogeza kuona namna Wakili wa mshtakiwa namba moja(Lengai Ole Sabaya) Wakili Msomi Mosses Mahuna …
The post Sehemu ya mahojiano ya Wakili wa Sabaya, Mosses Mahuna na Sahidi wa 10 appeared first on Bongo5.com.