Makampuni sita ya magari yataahidi kusita kutengeneza magari yanayotumia mafuta ifikapo mwaka 2040, katika mkutano wa kilele wa mabadiliko ya tabianchi COP26 ili kupunguza uzalishaji wa gesi chafu. Duru zinazohusika na makubaliano hayo zimesema kwamba makampuni mawili makubwa ya magari ya Toyota na Volkswagen pamoja na masoko makuu ya magari nchini China, Marekani na Ujerumani …
The post Magari yanayotumia mafuta mwisho 2040, wanaoyatengeneza waahidi appeared first on Bongo5.com.