Afisa wa afya katika Jimbo la Kwilu, takriban kilomita 680, mashariki mwa Mji Mkuu wa DRC, Kinshasa alimeviambia vyombo vya habari kuwa karibu watoto 7,000 waliambukizwa na kwa sasa wanatibiwa. Dalili ni pamoja na homa kali na kuhara. Mlipuko huo ulianza Agosti mwaka huu. Novemba 7 mwaka jana, sampuli zilifika katika Taasisi ya Kitaifa ya …
The post DRC: Watoto takribani 7000 wameugua ugonjwa usiojulikana appeared first on Bongo5.com.