Tuesday, July 6, 2021

Zari abwagana na mpenzi wake


Unaweza kusema mambo bado yanamwendea kombo  Zari the Boss lady , baada ya kuripotiwa kuachana na aliyekuwa mpenzi wake 'Dark Stallion' ikiwa wamedumu kwa kipindi kisichopungua miezi 5 tu.

Zari amefuta picha zao kwenye ukurasa wake wa Instagram na kueleza kuwa ameumizwa na kuvunjika kwa mahusiano yao licha ya kuwa hayakumjenga kimaisha.

"I miss him, but I had to let him go. If it doesn't build me I won't keep it".

The Boss lady na Mnigeria huyo waliweka wazi mahusiano yao mwezi Februari 14 mwaka huu ambayo huwa ni siku ya wapendanao.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...