Tuesday, July 6, 2021

STAMICO laibuka kidedea kwa kuwa Mshindi wa kwanza Maonesho ya Sabasaba


Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeibuka kidedea kwa kuwa Mshindi wa kwanza kwenye Maonesho ya Sabasaba mwaka 2021.

Akiongea kwa furaha baada ya ushindi huo  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO Dkt Venance Mwasse amesema STAMICO imekuja kivingine mwaka huu kwa kuja na Ubunifu mpya kwa  kwa kuleta bidhaa mpya katika soko kama vile Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu, Mkaa Mbadala (Rafiki Briquettes) kwa ajili ya matumizi ya Nyumbani. Mafunzo kwa wachimbaji wenye usikivu hafifu (viziwi) ambao walipata Elimu kutoka STAMICO.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USISAHAU KUSUBSCRIBE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...