Rapa wa kike kutoka nchini Marekani Megan Jovon Ruth Pete alimaarufu Megan Thee Stallion, siku ya jana alisikika akiwa Insta live akiusikiliza wimbo wa Juma Jux kutoka katika soko la muziki wa Bongo Fleva 'MAPEPE'
Rapa huyo amabye mpaka hivi sasa ametimiza miaka 26 alizaliwa February 15 ya mwaka 1995 katika mitaa ya San Antonio Texas aliburudika wakati yupo anasherehekea kutimiza mwaka mwigine akiisikiliza ngoma hiyo ya Jux.