Saturday, February 13, 2021

Mbeya City Waipunguzia Yanga Mwendo Kasi




Penati ya dakika ya mwisho inawapokonya Yanga pointi tatu baada ya bao la Deus Kaseke. Yanga bado wako 'unbeaten'. Mbeya City 1-1 Yanga.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...