Friday, June 12, 2020

Nay wa Mitego Aachia Rasmi Video ya Mungu yuko wapi?, Mashabiki Wamjibu (Video)



Msanii wa muziki Nay wa Mitego ameachia rasmi video ya wimbo 'Mungu yuko wapi?' huku mashabiki wamjibu maswali kabdaa ambayo amekuwa akijiuliza kupitia wimbo huo.


Haya ni maoni ya mashabiki hao.

Ryam Hassani
Mr Nay bna alituimbia MUNGU anakuona leo tena anatuimbi MUNGU yuko wapi nashindwa kuelewa wich iz wich sema kuna lines zimenikuna KEEP IT UP JOH 🙌🙌🙌🙌🙌

Yasson Mganga
Dada angu anasali sana na bado maskini lakini kuna wadada wanadanga wanapata hela sana hivi ndo wew unawapa????
#MunguYupoLakiniAnatuangalia
Sisi kupambanua yapi mema na yapi mabaya…. wenye akili hii nyimbo ni kali sana japo alieimba keshazoeleka mzee wa kuwachana
#FromTemekeDsmDodomaMyHome

Media Online
Dada angu anasali sana na bado maskini lakini kuna wadada wanadanga wanapata hela sana hivi ndo wew unawapa????
#MunguYupoLakiniAnatuangalia
Sisi kupambanua yapi mema na yapi mabaya…. wenye akili hii nyimbo ni kali sana japo alieimba keshazoeleka mzee wa kuwachana
#FromTemekeDsmDodomaMyHome

Gallo Gonga
Mwenyezi Mungu amewapa Uhuru wanadamu hapa duniani aither Ushukuru au ukufuru. Hukumu ya Mungu Ni siku ya Mwisho, Utachomwa Kama ulikua mtenda dhambi, na utaishi peponi kama utakua mtu mwema.
Kua masikini au tajiri sio kipimo cha kusikilizwa na Mungu, kwani Ni vigumu kwa tajiri kuona ufalme wa mbingu.

Clarahcut3
Doh kuna watu wanajua kupanic😂🤣Imagine mtu anakuja kumwaga matusi na kumtetea Mungu huku kwa comments😂🤣😆. Muwe mnaskilza kuelewa sio kuskilza kukosoa kila msikialo. 1.kabsaaa kashawaambia bakin na iman zenu yy abaki na yake. Hivo y mko so bothered kumdis kisa alichokiimba?
2. Ambae hajawah mhoj Mungu kwa nn anapitia matatizo apite mbele tumuone🤔🤔, Kuna watu hata mkifiwa na wazaz /ndugu mnakuwa wa kwanza kulia kwa nn Mungu kamchukua😅 then mko mnapanic, mkipata shida kdogo kiuchum mnaanza kumhoji, ila mko hapa kana kwamba nyie hayo maswal huwa hamjiulz😅.
It's okay to ask those Questions sababu ya namna dunia ilvo na inavokwenda, + through asking ndiko unapata kuelewa na kujua usio yajua. Na kama msanii ni kazi nzur sanaa kuweza kuwasilisha ur feelings, ideas, beliefs, people's & ur experiences katka mziki. Hajaambia mtu aache kumuamin Mungu.
Wala Mungu haitaj bnadam yoyote kumtetea yeye, hvo relaxin mkafanye vtu vngne😅. Mungu anajiteteaga mwenyew, Mungu huwa anajibu mwenyew, ukimuuliza maswal anakujibu, ukimtafuta anakuelekeza, haitaji secretaries wa kuzunguka kuchamba watu kumtetea😅.
#Nay big up👏🏾great work👏🏾👏🏾💕
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...