Friday, June 12, 2020

Jonas Mkude kuwa nje ya dimba kwa wiki mbili

Taarifa kutoka klabu ya Simba inaeleza kuwa kiungo wake Jonas Mkude  atakuwa nje kwa wiki mbili kutokana na majeraha aliyopata  kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC.

Akiwa nje ya dimba, Mkude ataendelea na mazoezi mepesi huku akipata matibabu.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...