Friday, June 12, 2020

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael awasili Shinyanga

Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amewasili mjini Shinyanga na tayari ameungana na timu mazoezini.

Timu hiyo inajiandaa kukabiliana na Mwadui FC katika mchezo wa VPL utakaofanyika kesho
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...