Ni mwaka sasa umepita toka alipofariki dunia mkurugenzi wa makampuni ya IPP, Reginald Mengi aliyefariki May 2, 2019 akiwa na umri wa miaka 75 huko Dubai alipokuwa akipatiwa matibabu.
Ikiwa leo ndiyo kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa mke wake Jacqueline Mengi ameikumbuka siku hii na kuandika haya kuhusu mumewe..
"Upendo wangu, sio siku ambayo hupita bila wewe. Ninamshukuru Mungu kwa maisha yako, kwa nafasi ya kupenda na kupendwa na wewe. Mimi na watoto tunakukosa sana. Tutajaribu bora yetu kuhifadhi urithi wako na kuendelea kusaidia wale wanaohitaji. Najua hiyo ingefanya tabasamu. Endelea Kupumzika Kwa Amani Mpenzi wangu .❤️" – Jacqueline Mengi
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Bongo Deco wauzai wa vifaa mbalimbali vya umeme kama TV, Subwoofer, Hometheator, Majiko madogo na makubwa ya Gesi, Friji, Generator nk leo w...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii wa Jamhuri ya ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Kuongezeka kwa ghasia za hivi majuzi kumesababisha idadi kubwa ya raia wa Lebanon kukimbia kutoka Beirut huku milipuko ikitikisa jiji hilo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 15, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) ...