Wananchi 200 kutoka Kaya Zisizokuwa na Uwezo katika Kata ya Vingunguti Wilaya ya Ilala jijini Dsm wamepatiwa Misaada mbali mbali ya Vyakula na Mafuta ikiwa ni Sadaka ya Futari katika kipindi hiki cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Misaada hiyo imetolewa na taasisi ya Misaada ya Kimataifa ya Kiislam ya Abdul-Aid ambapo pia inatarajiwa kusambazwa katika Mikoa mbali mbali mbali hapa nchini.
Mstahiki Meya wa Ilala Omar Kumbilamoto akizungumza wakati wa zoezi la Kugawa misaada hiyo Ikiendelea ameishuruku taasisi hiyo katika kuwakumbuka wananchi wanyonge hasa katika Kipindi hiki cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Msimamizi wa zoezi hilo kutoka Shirika la Abdul aid Sheikh Khalfan Mohamed Khoja amesema Misaada hiyo inalenga kuwapa Unafuu Wananachi Masikini na Wanyonge lakini pia akawakumbusha watu wenye Uwezo kuwakumbuka wananchi wasiojiweza kwa Kuwapatia Misaada.