Friday, April 10, 2020
Watu wa nne washikiliwa kwa tuhuma za kumkata visu rafiki yao
Na Amiri kilagalila,Njombe
Jeshi la polisi mkoani Njombe linawashikilia vijana wanne kwa tuhuma za kumpiga sehemu mbali mbali za mwili na kumkata visu rafiki yao baada ya kunywa pombe iliyonunuliwa na wenzake bila yeye kulipia chochote.
Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema tukio hilo limetokea kijiji cha Igominyi tarafa ya Njombe mjini.
"Kulikuwa na vijana wapatao watano ambao walikuwa wanafanya kazi eneo moja la kupasua mbao wakaamua kwenda kujifurahisha kwenye kirabu cha pombe za kienyeji,kuna mwenzao mmoja akawa anakunywa pombe za wenzake huyu anaitwa Godfrey Mbuligwe"alisema Kamanda Hamis Issa
Ameongeza kuwa
"Godfrey Mbuligwe huyu ni mkazi wa Mafinga kitendo cha kunywa pombe za wenzake na wenzake wakachukia na walichokifnaya walimpiga sehemu mbali mbali za mwili na walimkatakata visu"alisema tena Hamis Issa.
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Rais Uhuru Kenyatta na viongozi wengine nchini Kenya wametuma salamu zao za rambi rambi kwa familia ya marehemu Yusuf Haji. Rais Uhuru Kenya...
-
Kulia ni Mkurugenzi wa Stedom House of Beauty Bi. Stella Mhondo akigonga Cheers na wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi waliohudhuria uzin...
-
MWANA-mfalme wa Uingereza,. Prince Charles, ambaye ni mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza, na mrithi wa kwanza katika ...
-
Mfanyabiashara raia wa Kenya, Raphael Ongangi anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay, Dar es Salaam nchini Tanzania am...
-
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko amefunga rasmi mafunzo ya sheria za usalama barabarani kwa maaskofu na wachungaji wa makanisa ya...
-
Vijana wametakiwa kuwa wazalendo katika nchi yao kwa kukemea vitendo viovu katika jamii na kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu. Aidha Sil...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Zikiwa zimesalia siku chache tu Hoteli Mpya ya Kisasa yenye Ubora wa hali ya juu 'SHY PARK HOTEL' ifunguliwe Rasmi mwezi Agosti 202...
