Friday, April 10, 2020

Floyd Mayweather atangaza kuwa mkufunzi wa masumbwi

Gwiji wa Masumbwi, Floyd Mayweather, ametangaza kuwa, anataka kuwa mkufunzi bora zaidi wa masumbwi duniani, baada ya ku-post video akimfundisha kwa mara ya kwanza mpwa wake mwenye miaka 14.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...