Thursday, April 9, 2020

Rais Museveni awaonyesha Waganda jinsi ya kufanya mazoezi nyumbani kudhibiti maambukizi ya corona

Uganda imepiga marufuku kufanya mazoezi ya mwili ya umma kama njia ya ziada ya kudhibiti kusambaa kwa virusi vya corona.

Rais Yoweri Museveni amesema kuwa Waganda wanapaswa kufanyia mazoezi ya mwili majumbani mwao na akatuma video kwenye mitandao ya kijamii kuwaonyesha jinsi mazoezi hayo yanavyoweza kufanyika.



Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...