Takriban mabaharia 34 waliokuwa kwenye meli ya safari za kitalii iliyotia nanga katika mji wa Nagasaki nchini Japan wamegundulika kuwa na virusi vya Corona kwa mujibu wa mamlaka za Japan.
Msemaji mkuu wa serikali Yoshihide Suga amefahamisha kwamba meli ya Costa Atlantica iliwasili kwa mara ya kwanza Nagasaki mnamo mwezi Januari kwa ajili ya kufanyiwa ukarabati ikiwa imewabeba kiasi mabaharia 600.
Mwishoni mwa wiki iliyopita wasimamizi wa meli hiyo waliwasiliana na mamlaka kutaka msaada wa kufanyiwa uchunguzi wa kiafya watu kadhaa waliokuwa wakishukiwa kuwa na virusi hivyo. Mabaharia wote wako ndani ya meli ikiwemo waliokutwa na virusi.
-
Baadhi ya raia walioyatoroka makaazi yao baada ya mlipuko wa volkano uliotokea usiku wa kuamkia huko mjini Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kid...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali shauri lililokuwa limefunguliwa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Hii hapa ngoma mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Mama Ushauri ameshirikiana na Ng'wana Ng'washi inaitwa Merimela ,imetengenezwa Lw...
-
Msanii maarufu Ntemi O Mabala ' Ng'wana Kang'wa kutoka Kahama Mkoani Shinyanga anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa M...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...