Korea kaskazini imefyatua makombora kadhaa ya masafa mafupi katika bahari ya mashariki leo, shirika la habari la Korea kusini Yonhap limeripoti, likinukuu jopo la wakuu wa majeshi ya nchi hiyo.
Makombora hayo, ambayo yanaaminika kuwa ni kutoka ardhini kwenda katika meli, yaliruka kwa karibu kilometa 150. Yalifyatuliwa kutoka mji wa pwani wa mashariki wa Munchon katika mwelekeo wa kaskazini magharibi.
Ufyatuaji huo unakuja katika mkesha wa uchaguzi wa bunge la Korea kusini. Mwezi Machi, Korea kaskazini ilifanya majaribio ya ufyatuaji wa makombora kadhaa katika muda wa mwezi mmoja baada ya kutofanya hivyo kwa muda wa miezi mitatu.
Nchi hiyo yenye silaha za nyuklia imepigwa marufuku kufanya majaribio ya makombora na Umoja wa mataifa, na imewekewa vikwazo vikali na jumuiya ya kimataifa kukabiliana nayo dhidi ya kuendelea kuunda makombora hayo.
Source
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
WATU saba wamefariki dunia baada ya bajaji waliyokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori eneo la Mpemba, Tunduma wilayani Momba, mk...
-
Rais Uhuru Kenyatta na viongozi wengine nchini Kenya wametuma salamu zao za rambi rambi kwa familia ya marehemu Yusuf Haji. Rais Uhuru Kenya...
-
Kulia ni Mkurugenzi wa Stedom House of Beauty Bi. Stella Mhondo akigonga Cheers na wadau wa masuala ya Urembo na Vipodozi waliohudhuria uzin...
-
MWANA-mfalme wa Uingereza,. Prince Charles, ambaye ni mtoto wa kwanza wa Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza, na mrithi wa kwanza katika ...
-
Mfanyabiashara raia wa Kenya, Raphael Ongangi anayedaiwa kutekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay, Dar es Salaam nchini Tanzania am...
-
Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Jasinta Mboneko amefunga rasmi mafunzo ya sheria za usalama barabarani kwa maaskofu na wachungaji wa makanisa ya...
-
Vijana wametakiwa kuwa wazalendo katika nchi yao kwa kukemea vitendo viovu katika jamii na kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu. Aidha Sil...
-
Zikiwa zimesalia siku chache tu Hoteli Mpya ya Kisasa yenye Ubora wa hali ya juu 'SHY PARK HOTEL' ifunguliwe Rasmi mwezi Agosti 202...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
