Monday, July 1, 2019

VIDEO: Chadema yavuliwa nguo na aliyekuwa mwenyekiti wao wa njombe




Aliyekuwa mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani (CHADEMA) mkoani Njombe Fakih Raphael Lulandala na kujiunga na chama cha mapinduzi CCM hivi karibuni.

Amepokelewa rasmi na kikao cha halmashauri kuu ya chama hicho mkoa,na kubainisha kuwa viongozi wengi wa chadema hawatambui itikadi,falsafa wala imani ya chama chao.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...