Thursday, March 21, 2019

Rapa Wakazi afunguka baada ya kuchaguliwa kushiriki kwenye utengenezaji wa album ya Pan Africa (+video)

Rapper Wakazi amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuchaguliwa na Bodi ya Pan Africanism, kushiriki kwenye album ya muziki ya Pan Africa itakayoshirikisha wasanii wengine wakubwa kama Selif Keita, Mafikizolo, na wengineo. Wakazi kupitia Bongo5, amesema kuwa alipigiwa simu kujulishwa taarifa hizo na tayari ameanza kurekodi baadhi ya nyimbo, Album hiyo itatoka siku ya …

The post Rapa Wakazi afunguka baada ya kuchaguliwa kushiriki kwenye utengenezaji wa album ya Pan Africa (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...