Thursday, March 21, 2019

DC Jokate wa Kisarawe aeleza mambo 10 aliyoyafanya toka ateuliwe na Rais Magufuli (Video)

DC Jokate Mwegelo ikiwa ni birthday yake ya kwanza toka ateuliwe na Rais Magufuli Julai 28 mwaka 2018, ameeleza mambo 10 aliyoyafanya ndani ya wilaya hiyo ikiwa ni miezi 9 toka aanze kuwatumikia Wanakisarawe.

The post DC Jokate wa Kisarawe aeleza mambo 10 aliyoyafanya toka ateuliwe na Rais Magufuli (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...