Thursday, March 21, 2019

Gwiji wa soka aliyeifikisha Simba robo fainali klabu bingwa Afrika na fainali ya shirikisho Afrika atoa mbinu za kuiua TP Mazembe (+Video)

Aliyekuwa mshambuliaji hatari wa klabu ya Simba na mchezaji pekee aliyepiga hat-trick kwenye mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga Julai 19 mwaka 1977 Wanajangwani wakilala kwa jumla ya mabao 6 – 0, lakini pia kwamara ya kwanza akiwawezesha Wekundu wa msimbazi kutinga hatua ya robo fainali ya klabu bingwa barani Afrika mwaka 1974 …

The post Gwiji wa soka aliyeifikisha Simba robo fainali klabu bingwa Afrika na fainali ya shirikisho Afrika atoa mbinu za kuiua TP Mazembe (+Video) appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...