Thursday, March 21, 2019

Pogba awanunulia wachezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa pete za thamani kubwa, kama ukumbusho baada ya kutwa kombe la dunia (+ Video)

Mchezaji wa Manchester United na timu ya taifa ya Ufaransa Paul Labille Pogba ameamua kuwanunuliwa wachezaji wenzake wa timu ya taifa ya Ufarnsa Pete ikiwa kama ishara ya ukumbusho baada ya kutwaa taji la kombe la dunia. Pogba na wengine walizifunua pete, ambazo zimefanyika zikilingana na zile zinazotumiwa na timu za michuano ya NBA na …

The post Pogba awanunulia wachezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa pete za thamani kubwa, kama ukumbusho baada ya kutwa kombe la dunia (+ Video) appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...