Thursday, March 21, 2019

Clouds waanza maisha mapya bila Ruge na Kibonde, haya ni mambo matano yatakayowabeba (Video)

Clouds Media Group mwaka huu imepata pigo zito baada ya kuondokewa na Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji, ndugu Ruge Mutahaba. Wakiwa bado na machungu ya kuombeleza msiba huo mzito ndani ya kampuni hiyo, waliondokewa tena na mtangazaji mahiri wa kipindi cha Jahazi, Ephraim Kibonde ambaye alifariki siku chache baada ya kumzika Ruge. Bongo5 imekuandalia mambo …

The post Clouds waanza maisha mapya bila Ruge na Kibonde, haya ni mambo matano yatakayowabeba (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...