Saturday, March 23, 2019

MC Pilipili: Bajeti ya harusi yangu inaweza kuzidi tsh milioni 50, itafanyika Taifa au Leaders Club (Video)

Harusi ya MC Pilipili kufuru: “Itafanyika Uwanja wa Taifa au Leaders Club, pia natamani niweke kiingilio kwa sababu zinazungumzia couple bora kwa sasa ni Diamond na Tanasha, na mimi na Philomena Thadey, na hasuri yangu ni zaidi tsh milioni 50 na inaweza kuzidi, hii ndio sherehe yangu kubwa ya mwisho katika maisha yangu”

The post MC Pilipili: Bajeti ya harusi yangu inaweza kuzidi tsh milioni 50, itafanyika Taifa au Leaders Club (Video) appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...