Saturday, March 23, 2019

Rooney ammwagia sifa, Louis van Gaal, akiri alikuwa bora kuliko Sir Alex Ferguson ‘Alikuwa kocha bora kwa mbinu’

Aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Manchester United, Wayne Rooney amesema kuwa, Louis van Gaal ndiyo kocha bora kwa mbinu za ndani ya uwanja kuliko mwingine yoyote aliyewahi kufanya naye kazi katika ulimwengu wasoka hii ikiwa ni zaidi ya Sir Alex Ferguson. Rooney ambaye anaongoza kwa idadi ya magoli ndani ya Manchester United kuliko mchezaji yoyote aliyewahi …

The post Rooney ammwagia sifa, Louis van Gaal, akiri alikuwa bora kuliko Sir Alex Ferguson ‘Alikuwa kocha bora kwa mbinu’ appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...