Wednesday, March 20, 2019

Boomplay kushirikiana kibiashara na Warner Music Group

Boomplay ni app inayotoa huduma ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika, imesaini makubaliano ya kushirikiana kibiashara na Warner Music, kwa lengo la kuongeza wigo wa upatikanaji wa kazi za muziki wa kampuni hiyo maeneo mengi zaidi duniani. Moja kati ya makubaliano hayo ni pamoja na kuipa fursa Boomplay, kusambaza kazi za muziki zaidi ya …

The post Boomplay kushirikiana kibiashara na Warner Music Group appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...