Mwigizaji wa filamu Bongo, Muna Love amewashangaa baadhi ya watu wanaojadili picha zake kwenye mitandao kutokana na kuonekana kung'aa sana.
Muna aliyepata umaarufu kwenye mtandao wa kijamii wa Instgram amekuwa akiongenana aking'aa zaidi lakini ameeleza hilo linatokana na kuwa karibu na Mungu.
"Watu walishazoea siku zote mtu akiwa ameokoka anakuwa hapendezi anakuwa tofauti wakati kwa Mungu kuna kila ambacho unakihitaji, kuna kila kitu ambacho unamwomba wewe atakupatia kwa sababu umemwambini na kumpa maisha yako, nimemwamini na kumpa maisha yangu Mungu anaangalia moyo wangu haangalii kuwa nimevaa hivi," amesema Muna Love.
Ameendelea kwa kusema, 'Yeye ndiye anayenibariki na kuniongoza kwahiyo hata kupendeza kwangu kunatokana na kung'arishwa na Mungu, angekuwa haning'arisha nisingependeza, kwani wangapi wanapendeza na kuvaa nina kitu gani cha ajabu mpaka kikamshtua mtu, hiyo picha ni ya kawaida sana lakini kwa sababu Mungu ndio maana wanaiona ya tofauti'.
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na...
-
Na Mbuke Shilagi Kagera. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mradi wa umeme wa maji ya maporomoko wa Rusumo...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za ny...
-
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam October 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na ...
-
Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga Daktari Daniel Henry Na Isaac Masengwa ******************* Askofu mteule wa KKKT Dayosisi ya Mwanga...
-
Mhamasishaji maarufu wa mitandaoni, Mwijaku, ameandika ujumbe unaotoa ushauri kwa Rais wa klabu ya Yanga, Injinia Said Hersi, kupitia ukuras...
-
Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025 Msimamo Ligi Kuu Bara 2024/2025, NBC Premier League Tanzania Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 Tanzania Premier...
-
Zaidi ya ghorofa 100 jijini Dar es Salaam zilibainika kujengwa kinyume cha taratibu za ujenzi, Bunge lilielezwa. Kwa mujibu wa ripoti iliy...
-
Msanii wa nyimbo za asili Nyanda Madirisha Obhado 'Maliganya' maarufu Shikomba Bhulolo anakualika kusikiliza wimbo wake mpya 2021 un...
-
Ninakualika kutazama Video Mpya kabisa mwaka 2021 kutoka kwa Msanii Yobat amemshirikisha Bhudagala Ng'wana Malonja na Shija Kadoke wim...
