Thursday, February 21, 2019

Harmonize afunguka mambo usiyoyafahamu ‘mimi na Diamond tumegawana hisa sawa’

Kama ulikuwa unajiuliza kampuni ya Zoom Productions inamilikiwa na nani? kati ya C.E.O wa WCB, Diamond Platnumz na Harmonize, basi jibu limepatikana kuhusu mmiliki halali. Harmonize na Diamond Platnumz Harmonize ndiye aliyeweka ukweli huo hadharani, kwenye mahojiano yake na kituo cha redio cha A FM cha Jjini Dodoma ambapo amesema kuwa wote wawili wamegawana hisa …

The post Harmonize afunguka mambo usiyoyafahamu ‘mimi na Diamond tumegawana hisa sawa’ appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...