Monday, November 19, 2018

Trump akataa kusikiliza mkanda wa sauti mauji ya Khashoggi ‘Sina sababu ya kusikiliza’

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema amefahamishwa kuhusu mkanda wa sauti wa mauaji ya mwanahabari, Jamal Khashoggi lakini binafsi hatousikiliza. Kwa mujibu wa BBC, Trump ameiyambia runinga ya Fox News  “Tunao mkanda, Sihitaji kuhusikia, hakuna sababu ya mimi kuusikia,” amesema Trum na alipoulizwa sababu za kutotaka kuusikia amesema kuwa ” Kwa sababu ni mkanda wa …

The post Trump akataa kusikiliza mkanda wa sauti mauji ya Khashoggi ‘Sina sababu ya kusikiliza’ appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...