Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Dkt. Harrison Mwakyembe amefunguka kwa mara ya kwanza kuelezea kichapo cha goli 1-0 dhidi ya Taifa Stars dhidi ya Lesotho. Waziri Mwakyembe akiongea na Waandishi wa Habari mapema jana baada ya mchezo huo, amesema kuwa akifika Tanzania, atamwambia Rais Magufuli “tumefungwa bao moja na tunasubiri mechi ya Uganda …
The post Milioni 50 tulizopewa zimetusaidia kufungwa bao moja, pengine tungefungwa hata 6 – Waziri Mwakyembe appeared first on Bongo5.com.
Source