Kwa wapenzi wa burudani nchini Tanzania, Jumamosi hii ya Novemba 24, 2018 kutakuwa na matamasha makubwa matatu ya burudani yatakayofanyika mikoa mitatu tofauti. Tamasha kubwa la kwanza ni lile la fainali ya tamasha la Tigo Fiesta ambalo litafanyika Dar Es Salaam, Fiesta ndio tamasha kubwa la burudani kwa muda wote hapa nchini Tanzania. Fainali hiyo, …
The post Hivi ndivyo Tigo Fiesta, Wasafi Festival na Alikiba watakavyoitikisa Tanzania Novemba 24 appeared first on Bongo5.com.
Source