Friday, November 16, 2018

Rapa 6ix9ine atimua wafanyakazi wake wote akiwemo meneja wake

Rapa wa Marekani  Tekashi  6ix9ine amewafukuza wafanyakazi  wake wote ikiwa ni pamoja na meneja wake, wakala na mshirika wa umma na pia alichukua uamuzi wa kuahirisha tarehe zake za show zilizobaki. Rapa huyo mwenye umri wa miaka 22 alitangaza ishu hii katika moja ya  video zake  za Instagram na akisema kuwa wafanyakazi wa timu yake …

The post Rapa 6ix9ine atimua wafanyakazi wake wote akiwemo meneja wake appeared first on Bongo5.com.


Source
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...